WEZESHA WANAWAKE

WEZESHA WANAWAKE

Tuesday, November 6, 2012

OBAMA ASHINDA TENA! MIAKA MINNE WHITE HOUSE


Barack Obama amechaguliwa tena kuwa raisi wa 44 wa Marekani, hii imejidhihirisha baada ya kushinda kwenye state ya Ohio ambayo ndio imekuwa siku zote muamuzi wa Uchaguzi wa Marekani.
Raisi Obama ambaye ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii aliwashukuru wapiga kura wake kwenye mtandao wa Tweeter ..."This happened because of you. Thank you. We're all in this together. That's how we campaigned, and that's who we are. Thank you. -bo"

Mitaa ya Chicago ililipuka kwa furaha baada ya matokeo ya Ohio wapenzi wa Obama wakishangilia mitaani kwa furaha ya Ushindi

Mitt Romney Mitt Romney ambaye ni mpinzani wa Barrack Obama anategemea kwenda kutoa hotuba ya Shukrani huko Chicago

No comments:

Post a Comment