WEZESHA WANAWAKE

WEZESHA WANAWAKE

Tuesday, May 22, 2012

Mwandosya, Waziri Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Aapishwa

Hatimaye, Waziri Mteule ambaye hakuapishwa pamoja na wenzake Prof. Mark Mwandosya ameapishwa leo asubuhi kama Waziri katika Ofisi ya Raisi Kazi Maalum
Waziri Mark Mwandosya akila kiapo leo, Ikulu Dar es Salaam Mbele ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudiwa na Katibu Mkuu kiongozi Bwana Ombeni Sefue na Karani wa Baraza la Mawaziri bwana Gerson Mdemu
Waziri katika Ofisi ya Raisi, Kazi Maalum Prof. Mark Mwandosya akiweka Saini Kiapo chake
Waziri Mark Mwandosya akiwa na Mke wake Lucy Ikulu wakati wa sherehe ya Kuapishwa kwa Prfo. Mwandosya
Picha ya Pamoja Kutoka Kushoto Lucy Mwandosya, Raisi Kikwete, Prof. Mwandosya na Joycelene Kaganda Mwandosya
Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Waziri Mark Mwandosya

Raisi Kikwete akimsindikiza Waziri Mwandosya baada ya Kula kiapo Ikulu

No comments:

Post a Comment