Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza Baraza la Mawaziri Leo Mei 4, 2012
Baraza jipya limeshuhudia Baadhi ya Mawaziri
waliokuwa wakitajwa kwenye ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) na zile za Kamati za kudumu za Bunge kuwa Wzara zao zilibainika
kuwa na vitendo vya ubadhirifu wa mali ya umma wakiondolewa katika nafasi zao.
Pamoja na hao pia Baraza hili tofauti na
lililokuwepo linakosa sura maarufu za Mawaziri wafuatao:
1.
Mustafa Mkulo aliyekuwa Waziri wa
Fedha
2.
William Ngeleja aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini
3.
Cyril Chami aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara
4.
Omari Nundu aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi
5.
Dkt. Hadji Hussein
Mponda Aliyekuwa Waziri wa Afya
6.
Ezekiel Maige aliyekuwa
Waziri wa Maliasili na Utalii,
7.
Dr. Athuman Mfutakamba aliyekuwa Naibu Waziri Wa Uchukuzi
Mustafa Mkulo
Omari Nundu
Dokta Hadji Mponda
Ezekiel Maige
Dr. Athumani Mfutakamba
Aidha Baraza hilo limeshuhudia Mbunge machachari wa jimbo la Bumbuli January Makamba akiteuliwa kuwa Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
Januari Makamba
1.
Dr. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi anakuwa Waziri wa
Uchukuzi
2. Dr. Fenella E. Mukangara aliyekuwa Naibu Waziri
katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo sasa anakuwa Waziri
kamili katika Wizara hiyohiyo na
3.
Khamis Kagasheki aliyekuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani anakuwa Waziri
wa Maliasili na utalii
Dr. Harrison Mwakyembe
Dr. Fenella E. Mukangara
Balozi Khamis Kagasheki
Orodha kamili ya Baraza la Mawaziri iliyotangazwa na Mheshimiwa Raisi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu leo tarehe 4
Mei 2012 ni:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,
2. OFISI YA MAKAMU WA
RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,
3. OFISI YA WAZIRI
MKUU
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
Uwezeshaji)Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,
4. WIZARA
Waziri wa Ushirikiano
wa Afrika MasharikiNdugu Samuel J. Sitta, Mb.,
Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,
Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,
Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,
Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,
Waziri wa Katiba na
Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,
Waziri wa Kazi na
Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,
Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,
Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,
Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,
Waziri asiyekuwa na
Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,
Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,
Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,
Waziri wa Maliasili na
Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,
Waziri wa Viwanda na
Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,
Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,
5. NAIBU MAWAZIRI
OFISI YA RAIS
Hakuna Manaibu Wazari
6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,
7. OFISI YA WAZIRI
MKUU
Naibu Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,
Naibu Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,
Naibu Waziri wa
Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,
Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo
ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,
Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,
Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,
Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,
Naibu Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,
Naibu Waziri wa
Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,
Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,
Naibu Waziri wa
Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,
Naibu Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,
Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,
Naibu Waziri Nishati
na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,
Naibu Waziri wa Katiba
na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,
Mawaziri hawa wateule
wataapishwa siku ya Jumatatu Tarehe 7 Mei 2012
Na sisi tulikuwepo pale ikulu....
No comments:
Post a Comment