"CATH LAB" Mtambo unaotumika Kufanya Uchunguzi, Kuzibua Mishipa inayopeleka damu kwenye Moyo na kuziba matundu ya Moyo bila Kufanya Upasuaji Ulioko Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Idara ya Tiba na Upasuaji Moyo.
Katika hatua nyingine ya kimaendeleo katiba tiba, Kitengo cha Tiba ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imefanikiwa kufanya Tiba ya Moyo kwa kuziba Matundu ya Kwenye Moyo Bila Kufanya Upasuaji wa Kifua. Hii inatokana na Maendeleo ya Kiteknolojia na matumizi ya Mtambo wa kufanya Uchunguzi, Kuzibua Mishipa ya Damu na Kuziba Matundu ya kwenye Moyo.
Tiba hii imefanyila lwa Kushirikiana na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre ya Riyadh Saudi Arabia.
Hii ni hatua nyingine kubwa katika nyanja ya Tiba na Afya baada ya Kushuhudia ushirikiano kama huu na Hospitali mbalimbali za kimataifa kwa kutumia mifumo ya Habari kama Video Conference ambapo madaktari waliweza kufanya upasuaji nchini kwa kushirikiana na Madaktari bingwa wenzao walioko nje ya Nchi.
Baada ya Uzibaji huu wa Moyo bila upasuaji, Kaimu Murugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dr. Hussein Kidanto, amesema zaidi ya wagonjwa ishirini (20) wanatarajiwa kupata Tiba ya Moyo kwa Utatatibu huu.
WEZESHA WANAWAKE
Saturday, May 9, 2015
Sunday, September 29, 2013
MISS PHILIPPINES ATUNUKIWA TAJI LA MISS WORLD 2013
Megan Young ambaye ni Miss Philippines ametunukiwa taji la kuwa Miss World mwaka 2013 katika fainali iliyofanyika Indonesia, Nusa Dua Kwenye Kisiwa cha Bali chini ya ulinzi mkali kutokana na upinzani mkubwa kutoka kwa Waisilamu wenye msimamo mkali wanaopinga mashindano hayo.
Megan Young, Miss Philippines baada ya Kuvikwa Taji la Miss World 2013, siku ya Jumamosi Septemba 28, 2013
Miss world 2013, Megan Young akipongezwa na Miss World 2012, Yu Wenxia aliyemaliza Muda wake
Miss World 2013 Megan Young akiwashukuru watazamaji baada ya kutunukiwa Taji huku akiwa na Mshindi wa Pili na wa Tatu wa Shindano hilo Miss France na Miss Ghana
Miss World akiwa na washiriki wengine mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa Shindano hilo la Dunia, 2013
Miss Philippines akipita kwa Mwendo wa kunyata "Cat Walk" kabla ya kutangazwa mshindi wakati kinyang'anyiro kikiendelea
Ulinzi Mkali nje ya jengo yalimofanyika Mashindano ya Miss World 2013
Askari wakifanya doria kuzunguka Jengo yalimofanyika Mashindano ya Miss World 2013
Waislamu wenye msimamo Kali wakipinga kufanyika kwa Mashindano hayo wakiyaona kuwa ni haramu
Waislamu wenye msimamo mkali wakipinga kufanyika kwa mashindano hayo
Thursday, July 18, 2013
Happy Mandela International Day!
The Bullaz wishes Nelson Mandela quicker recovery as he celebrates hIs 95th Birthday while in Bed!
Sunday, June 9, 2013
TUZO - KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS
MSANII BORA WA KIUME
Diamond
VIDEO
BORA YA MWAKA
Ommy
Dimpoz - Baadae
WIMBO
BORA WA HIP HOP
Dear
God - Kala Jeremiah
WIMBO
BORA WA AFRIKA MASHARIKI
Valu
valu - Jose Chamelion
WIMBO
BORA WA MWAKA WA HIP HOP
Ney
Wa Mitego - Sema Nao
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI HIP HOP NA MSANII BORA WA HIP HOP
Kala
Jeremiah
MSANII
BORA WA HIP HOP
Kala
Jeremiah
WIMBO
BORA WA RAGGAE/DANCEHALL
Dabo
- Predator
BENDI
BORA
Mashujaa
Bendi
RAPA
BORA WA BENDI
Ferguson
MSANII
BORA WA KIUME BENDI
Chalz
Baba
MSANII
BORA WA KIKE BENDI
Luiza
Mbutu
MTAYARISHAJI
WA WIMBO BORA WA MWAKA BENDI
Amoroso
WIMBO
BORA WA BENDI
Mashujaa
Bendi na wimbo wa "Risasi kidole"
MSANII
BORA ANAYECHIPUKIA
Ali
Nipishe
WIMBO
BORA WA BONGO POP
Ommy
Dimpoz Featuring Vanessa Mdee
MSANII
BORA WA KIUME BONGO FLAVA
Diamond
MTAYARISHAJI
BORA WA MWAKA BONGO FLAVA
Man
Water
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI BONGO FLAVA
Ben
Pol
WIMBO
BORA WENYE VIONJO VYA ASILI
Mrisho
Mpoto Feat. Dito - Chocheeni kuni.
MSANII
BORA WA KIKE - TAARAB
Isha
Mashauzi
MSANII
BORA WA KIUME - TAARAB
Mzee
Yusuf
MTAYARISHAJI
WA WIMBO BORA WA MWAKA - TAARAB
Enrico
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI YA TAARAB
Thabit
Abdul
KUNDI
BORA
Jambo
Squad
MSANII BORA WA KIUME
Diamond
VIDEO
BORA YA MWAKA
Ommy
Dimpoz - Baadae
WIMBO
BORA WA HIP HOP
Dear
God - Kala Jeremiah
WIMBO
BORA WA AFRIKA MASHARIKI
Valu
valu - Jose Chamelion
WIMBO
BORA WA MWAKA WA HIP HOP
Ney
Wa Mitego - Sema Nao
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI HIP HOP NA MSANII BORA WA HIP HOP
Kala
Jeremiah
MSANII
BORA WA HIP HOP
Kala
Jeremiah
WIMBO
BORA WA RAGGAE/DANCEHALL
Dabo
- Predator
BENDI
BORA
Mashujaa
Bendi
RAPA
BORA WA BENDI
Ferguson
MSANII
BORA WA KIUME BENDI
Chalz
Baba
MSANII
BORA WA KIKE BENDI
Luiza
Mbutu
MTAYARISHAJI
WA WIMBO BORA WA MWAKA BENDI
Amoroso
WIMBO
BORA WA BENDI
Mashujaa
Bendi na wimbo wa "Risasi kidole"
MSANII
BORA ANAYECHIPUKIA
Ali
Nipishe
WIMBO
BORA WA BONGO POP
Ommy
Dimpoz Featuring Vanessa Mdee
MSANII
BORA WA KIUME BONGO FLAVA
Diamond
MTAYARISHAJI
BORA WA MWAKA BONGO FLAVA
Man
Water
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI BONGO FLAVA
Ben
Pol
WIMBO
BORA WENYE VIONJO VYA ASILI
Mrisho
Mpoto Feat. Dito - Chocheeni kuni.
MSANII
BORA WA KIKE - TAARAB
Isha
Mashauzi
MSANII
BORA WA KIUME - TAARAB
Mzee
Yusuf
MTAYARISHAJI
WA WIMBO BORA WA MWAKA - TAARAB
Enrico
MTUNZI
BORA WA MASHAIRI YA TAARAB
Thabit
Abdul
KUNDI
BORA
Jambo
Squad
Monday, January 28, 2013
MSANII WA FILAMU LULU AACHIWA KWA DHAMANA
Mahakama Kuu ya Tanzania imekubali dhamana ya Msanii Elizabeth Michael au maarufu kama Lulu iwapo atatimiza masharti yote ya dhamana hiyo.
Elizabeth Michael "Lulu"
Lulu alishitakiwa na kutuhumiwa kuhusu Kifo cha Msanii mwingine wa Filamu Nchini Marehemu Steven Kanumba. Toka wakati huo, Lulu amekuwa Chini ya Ulinzi mahabusu kutokana na kesi hiyo inayomkabili. Dhamani hii kwa mara ya kwanza itamuwezesha Lulu kuishi nje ya Mahabusu tangu mwezi wa Aprili 2012 alipowekwa chini ya Ulinzi Mahabusu.
Lulu akiwa Mahakama kuu ya Tanzania Leo
Furaha ya Lulu haikuweza kufichika akiwa mahakamani Leo
Maisha ya Lulu akiwa chini ya Ulinzi wakati kesi ikiwa Mbichi
Shauri la Lulu wakati likiwa katika Mahakama ya Kisutu kabla ya Kupelekwa Mahakama Kuu
Lulu akirudi mahabusu wakati shauri lake likiwa katika hatua za awali
Lulu kabla ya kukutwa na misukosuko ya Kesi inayo mkabili
Kwa amri hii ya mahakama Kuu ya Tanzania iliyoruhusu dhamana ya Elizabeth Michael kwa Masharti matano, Lulu hatimaye atarudi uraiani kujumuika na familia, Marafiki, ndugu, Jamaa na mashabiki wake baada ya kuwa nao mbali kwa takribani miezi kumi
Wednesday, January 23, 2013
Sad Ending: Different Strokes Crew
From Left: The Late Gary Coleman (Anold), The Late Dana Plato (Kimberly), Todd Bridges (Willis)
Sitting the Late Conrad Bain (Philip Drummond)
From Left: The Late Dana Plato (Kimberly), Todd Bridges (Willis)
the Late Conrad Bain (Philip Drummond) and The Late Gary Coleman (Anold)
"What'chu talkin' 'bout, Willis?"The Late Gary Coleman (Anold)
The Only Surving member of the Four Actors, Todd Bridges (Willis)
The Late Conrad Bain (Philip Drummond)
Subscribe to:
Posts (Atom)