WEZESHA WANAWAKE

WEZESHA WANAWAKE

Thursday, December 20, 2012

THEO WALCOTT NI MALI YA ARSENAL!

Theo Walcott

Kocha Arsenal Wenger akiwa amemkumbatia Theo Walcot

KSiku za karibuni kumekuwa na hisia na kauli tofauti kuhusu hatima ya Mkataba wa Mchezaji wa Arsenal Theo Walcot ambao unaisha katika majira ya Joto.

Theo Walcot alitua Arsenal kwa kibunda cha Paundi 9.1 milioni akiwa kinda wa miaka 16 mwaka 2006.

Wenger amesisitiza kuwa Theo Walcott Mwenye umri wa Miaka 23ataendelea kuwepo Emirates kwenye Klabu wa Washika Magobore wa Arsenal. Arsene Wenger anaamini kuwa Walcot atasaini tena na Arsenal baada ya kumalizika kwa mkataba wake.


 

No comments:

Post a Comment