WEZESHA WANAWAKE

WEZESHA WANAWAKE

Sunday, June 10, 2012

Euro 2012... Italy 1 - 1 Spain



Bao la dakika ya 60 la Antonio Di Natale wa Italy, iliifanya timu hiyo kuongoza kwa dakika nne tu baada ya mchezaji wa Spain Cesc Fabregas, kurejesha bao hilo dakika ya 64. 

Huu ni Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu katika ufunguzi wa michezo ya Kundi C na kushuhudiwa ukimalizika kwa Italy na Spain kutoka sare ya bao Moja kwa moja na kuacha matokeo na msimamo wa Euro 2012 mpaka sasa kuwa kama inavyoonekana hapo chini:


IJUMAA, 8 JUNI 2012
JUMAMOSI 9 JUNI 2012
JUMAPILI 10 JUNI 2012

Poland
Greece
Netherland
Denmark
Spain
Italy
1
1
0
1
1
1

Russia
Czech
Germany
Portugal
Ireland
Croatia
4
1
1
1



Group A
Country
W
D
L
GD
Pts
Russia
1
0
0
3
3
Greece
0
1
0
0
1
Poland
0
1
0
0
1
Czech Rep.
0
0
1
-3
0
Group B
Country
W
D
L
GD
Pts
Denmark
1
0
0
1
3
Germany
1
0
0
1
3
Netherlands
0
0
1
-1
0
Portugal
0
0
1
-1
0
Group C
Country
W
D
L
GD
Pts
Italy
0
1
0
0
1
Spain
0
1
0
0
1
Croatia
0
0
0
0
0
R. of Ireland
0
0
0
0
0
Group D
Country
W
D
L
GD
Pts
England
0
0
0
0
0
France
0
0
0
0
0
Sweden
0
0
0
0
0
Ukraine
0
0
0
0
0


 Mashabiki wa Portugal na Germany wakipeperusha bendera zao Jumamosi 9/6/2012

No comments:

Post a Comment