WEZESHA WANAWAKE

WEZESHA WANAWAKE

Monday, April 9, 2012

BRUCE WILLS APATA MTOTO WA NNE
Bruce Wills (57) Mcheza Sinema wa Hollywood apata Binti wa Nne Mabel Ray na Mke wake wa pili Emma Heming (33). Watoto Wengine wa Bruce Wills ni pamoja na Rumer (23), Scout (20) na Talulah (18) ambao alizaa na mke wake wa kwanza Demi Moore. Emma Pia ni Mcheza sinema na Model amewahi kucheza kama Donna kwenye Kipindi maarufu cha Perfect Strangers. (The Sun)

No comments:

Post a Comment